Latest Posts
Australia yatoa bil. 15/- kunufaisha kampuni na mashirika ya uzalishaji yanayochipukia Tanzania
Mkurugenzi wa Mikakati na Maendeleo wa Shirika la REEEP, lenye makao makuu Vienna, Austria, Bw. James Smith amesema Shirika lake limepokea msaada wa Euro milioni 5 sawa na Shilingi bilioni 15 kuzisadia kampuni za Kitanzania kuongeza uzalishaji wa bidhaa za…
Polisi yawashikilia wanne kwa tuhuma za mauaji ya waendesha bodaboda Tabora
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora JESHI la Polisi Mkoani Tabora linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za ujambazi na mauaji ya waendesha bodaboda yaliyokuwa yakiripotiwa mara kwa mara katika maeneo mbalimbali mkoani hapa. Hayo yamebainishwa jana na Mkuu wa Mkoa Paul…
Sangu : Mawakala wa ajira binafsi zingatieni mwongozo
Na OWM – KAM Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano Deus Sangu amewataka Mawakala binafsi wa Ajira kuzingatia mwongozo wa uratibu wa ajira za nje ya nchi ili watanazania wengi wanufaike na…
DED Regina: Hakuna wanafunzi wanaosoma kwenye madarasa yaliyoezuliwa paa Kibaha
Na Mwavua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, imekanusha taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa JamiiForums ikidai kuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ruvu Station wanasomea katika madarasa yaliyoezuliwa paa. Regina Bieda alifafanua…
Prof. Shemdoe aelekeza kusimamishwa kazi watumishi 14 wanaotuhumiwa kwa ubadhirifu wa fedha Muheza
Na OWM – TAMISEMI, Muheza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, Kwa mujibu wa Kanuni ya 37(1) ya Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2022, amemuelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza…





