Latest Posts
Simba yaleta heshima kimataifa
Wekundu wa Msimbazi Simba Sc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika mchezo wa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika uliochezwa leo Disemba 15, 2024 katika uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar…
Kuweni baraka, sio kitunguu kuwatoa machozi wengine – Dk Biteko
📌 Amwakilisha Rais Samia hafla ya kutabaruku kanisa SDA- Magomeni 📌 Ataka watu kutengenezeana furaha badala ya kuumizana 📌 Ahimiza Mshikamano wa Taifa ili kuleta maendeleo Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na…
Uboreshaji bandari ya Mtwara walibeba zao la korosho kimataifa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Maboresho yaliyofanywa na Mamlaka ya Bandari (TPA) katika bandari ya Mtwara yamevutia meli nyingi za kigeni katika usafirishaji wa korosho kwenda katika masoko ya kimataifa na kuufanya msimu wa 2024/2025 wa zao hilo la biashara…
Filamu ya ‘Tantalizing Tanzania’ yazinduliwa india
FILAMU ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo “Tantalizing Tanzania” inayomhusisha mwanamuziki wa India Shakti Mohan aliyepiga picha mjongeo katika hifadhi za Serengeti, Ngorongoro na Zanzibar imezinduliwa nchini India. Filamu hiyo iliyoandaliwa na Kampuni ya Swahili iliyopo Mumbai…
Mbunge Byabayo awafariji watoto yatima 200 kupitia Tamasha la Bukoba Mjini Mpya Festival 2024
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wamewakutanisha watoto yatima 200 wanaoishi katika vituo vya watoto yatima Manispaa ya Bukoba. Lengo kuu ikiwa ni kuwapa faraja kwa kuwapa mahitaji muhimu ya shule, vyakula…
Mwafaunzi wa Chuo cha RUCU aliyebakwa hadi kufa azikwa
Mwili wa Rachel Mkumbwa umezikwa katika kijiji cha Isongole kilichopo Wilaya ya Ileje mkoani Songwe, baada ya kudaiwa kubakwa na kuuawa mkoani Iringa. Rachel alikuwa akisoma mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Ruaha (Rucu) mkoani Iringa, alikutwa amefariki dunia…





