JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wanufaika 41,000 kutoka makundi mbalimbali kunufaika na Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijisia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mahandisi Zena Ahmed Said amesema jumla ya wanufaika 41,000 kutoka katika makundi mbali mbali ya kijamii wanatarajia kunufaika na Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijisia…

Mahakama ya Afrika yaitaka Tanzania kurekebisha katiba kuhusu kupinga matokeo ya urais

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) na Watu imetaka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuchukua hatua za kikatiba na kisheria kurekebisha kifungu cha Katiba kinachozuia kupingwa kwa matokeo ya uchaguzi wa Rais mahakamani….

Waongoza watalii watakiwa kuzingatia misingi ya kazi zao

Na Sixmund Begashe, JamhuriMedia, Arusha Waongoza watalii wote nchini wametakiwa kuchukuwa hatua zote za taadhari wakati wanapowatembeza watalii katika maeneo ya Hifadhi hususani Hifadhi ya Taifa Serengeti hasa kipindi hiki cha mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. Wito huo umetolewa na Waziri…

Dk Mwigulu aagiza kukamatwa kwa mkandarasi raia wa Iran aliyekimbia mradi wa ujenzi Bwawa la Umwagiliaji Bonde la Eyasi

×Asema ni hujuma na dharau dhidi ya Serikali, aahidi kula naye sahani moja, huku akisisitiza kuwa ametumwa kuwashughulikia wezi wa fedha za Serikali… Ataka akamatwe na kuzuiwa kuondoka nchini Karatu, Arusha. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe….

Umeme wa gridi Kigoma umeokoa bilioni 58 za mafuta na matengenezo – Salome

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kusimamia na kukamilisha mradi wa kupeleka umeme wa gridi mkoani Kigoma na hivyo kuokoa takribani shilingi bilioni 58 zilizokuwa zikitumika kila mwaka kwa ajili ya ununuzi…