Latest Posts
Viongozi wa dini wahimiza Watanzania kupiga kura, amani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza VIONGOZI wa dini mbalimbali mkoani Mwanza, wametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kupiga kura kwa wingi katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, uliopangwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu. Kadhalika katika kongamano la Amani la…
Wadau wakutana kujadili nafasi ya mbegu za wakulima kwenye Itifaki ya Eneo Huru la Biashara Africa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro WADAU kutoka serikalini, mashirika ya kiraia na wakulima wamekutana mkoani Morogoro kujadiliana kuhusu nafasi ya mbegu za wakulima kwenye Itifaki ya Eneo Huru la Biashara Africa (AfCFTA). Akifungua mkutano huo Mratibu wa Mtandao wa Baionuai…
Chalamila amkabidhi mjane Alice Haule hati ya nyumba
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemkabidhi hati ya umiliki wa nyumba Mjane wa Marehemu Justus Rugaibura, Alice Haule, baada ya Tume maalum ya Serikali kubaini kuwa yeye ndiye mmiliki…
Mchengerwa : Kizazi cha leo kitashuhudia historia mpya ya taifa
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Rufiji kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohammed Nchebgerwa, amesema kuwa kizazi cha leo kinakwenda kushuhudia historia mpya ya taifa, akibainisha kuwa taifa limewahi kushuhudia Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa Rais wa Tanganyika, na sasa kizazi…
Bibi wa miaka 120 amuombea dua Rais Samia
Mkazi wa Mtaa wa Msufini Kata ya Kibaha Mjini mkoani Pwani, Asha Madamde, maarufu Bibi Hatibu mwenye miaka 120 ,amesisitiza kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, huku akimuombea dua mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Rais Samia Suluhu…





