JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Watoto 85 wapatikana kwa upandikizaji mimba Kairuki Green IVF

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JUMLA ya watoto 85 wamezaliwa kwa huduma ya kupandikiza mimba inayotolewa na kituo cha Kairuki Green IVF tangu kuanzishwa kwake mwaka 2022. Hayo yalisemwa jana Bunju Mianzini jijini Dar es Salaam kilipo kituo…

Naibu Rais Mteule Kithure Kindiki kuapishwa leo

Kamati maalum imebuniwa kupanga kuapishwa kwa Kithure Kindiki kama Naibu Rais mpya nchini Kenya. Mkuu wa Wafanyakazi ambaye pia ni Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Kosgei ametangaza kwenye gazeti la serikali kamati ya wanachama 23 kusimamia kuandaliwa kwa hafla…

Waliotuhumiwa kuingilia mfumo ya mawasiliano wasomewa mashtaka 120

Watuhumiwa 20 wa makosa ya kuingilia mifumo ya mawasiliano wamefikishwa Mahakamani jana jioni katika mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha huku wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi yanayojumuisha makosa 120 ikiwemo Utakatishaji wa Fedha. Akisoma mashtaka katika kesi namba 30977 ya…

Madiwani Malinyi washauriwa kuwa mfano ya kutoa hamasa wananchi kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Malinyi MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi wametakiwa kuwa mfano katika kutoa hamasa kwa wananchi kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu Tawala wa…

Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani

Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea kombora hilo ni nini na kwanini ni tishio kwa Marekani na…

Baraza la Afya ya Akili kuanzishwa nchini

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inatarajia kuanzisha Baraza la Afya ya Akili Nchini litakalosimamia muundo utakaoratibu Sekta mbalimbali za kitaaluma na kiutendaji ili kushugulikia ufanisi wa suala la afya ya akili. Majaliwa amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma…