JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Uunganishaji umeme vijijini wafikia asilimia 99.9

šŸ“ŒVitongoji 33,657 vimefikiwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umesema kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Desemba 2024, vijiji vilivyounganishwa na umeme nchini vimefikia 12,301 kati ya vijiji 12,318 ambayo ni sawa na asilimia 99.9. Hayo yamebainishwa leo tarehe 5 Januari,…

Waandishi wapigwa msasa kuhusu mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi Afrika

Imeelezwa kuwa Tanzania haikuchaguliwa kwa bahati mbaya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, isipokuwa imekidhi vigezo ambavyo waandaji wamejiridhisha navyo. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje…

Ulega atoa saa 72 kurejesha mawasiliano daraja Gonja Mpirani

Na Mwandishi Wetu, JahuriMedia, Kilimanjaro Abdallah Ulega ametoa saa 72 kwa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) Mkoa wa Kilimanjaro kurejesha mawasiliano katika daraja la Gonja Mpirani. Hatua hiyo inafuatia kuvunjika kwa daraja hilo hivi karibuni kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika…

Urusi yaapa kulipiza kisasi baada ya mashambulizi ya Ukraine

Urusi imeapa siku ya Jumamosi kulipiza kisasi baada ya kuishutumu Ukraine kushambulia eneo la mpakani la Belgorod kwa kuvurumisha makombora ya masafa marefu ya ATACMS yaliyotolewa na Marekani. “Hatua hizi za serikali ya Kyiv, ambayo inaungwa mkono na washirika wa…

Mtoto ajinyonga kwa kukosa nguo za sikukuu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Mwanafunzi wa darasa la tatu katika kijiji cha Uruwila Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi amejinyonga kwa kutumia sweta lake alipokuwa amelala chumbani kwake. Akitoa taarifa ya tukio hilo Januari 3, 2025 Kamanda wa Polisi…