JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Chongolo apongeza PPP kwa kuibua miradi nchini

MKUU wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta za Umma na Sekta Binafsi (PPP) Davidi Kafulila, kwa kuendeleza zoezi la kuibua miradi katika maeneo mbalimbali nchini. Chongolo ametoa pongezi hizo ofisini…

Dk Biteko aikaribisha India kuwekeza miradi ya umeme jua nchini

* Asema suala la Tanzania kuwa na nishati ya uhakika si la kusubiri * Taasisi ya Kimataifa ya Umeme Jua (ISA) yaonesha nia ya kuwekeza  *Kituo cha umahiri wa umeme jua kuzinduliwa Arusha Juni mwaka huu Naibu Waziri Mkuu na…

Nafasi ya uenyekiti Tume ya Umoja wa Afrika yabaki kitendawili

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salam Joto la kinyang’anyiro katika nafasi ya Mwenyekiti wa tume ya umoja wa mataifa linazidi kupanda kwa wagombea wa nafasi hiyo. Nafasi hiyo ya uenyekiti imekuwa ikishikiliwa na Moussa Faki raia wa Chad tangu…