JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Jeshi laanza rasmi jukumu la kuiongoza kwa muda Bangladesh

JESHI la Bangladesh limechukuwa rasmi udhibiti wa nchi Jumanne, baada ya maandamano makubwa ya umma kumlazimisha mtawala wa muda mrefu wa taifa hilo kujiuzulu na kukimbilia uhamishoni Rais wa Bangladesh Mohammed Shahabuddin tayari amelivunja bunge katika utekelezaji wa hatua ambayo…

Rais Samia aacha alama ya kipekee Morogoro

Na Mwandishi Wetu RAIS Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake ya siku sita mkoani Morogoro huku akiacha alama kubwa kwa uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo na timu ya wanasheria waliosaidia kutoa msaada wa sheria bure kwa maelfu ya wananchi….

Mwanafunzi NIT abuni mashine ya kusaidia kulea Vifaranga

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWANAFUNZI kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), George Luambano amebuni mashine itakayosaidia kulea vifaranga viweze kukua vizuri. Akizungumza na waandishi wa habari katika banda lao lililopo kwenye Maonesho ya Kitaifa ya Wakulima…

Wananchi wajionea utekelezaji miradi ya gesi asilia Nanenane

๐Ÿ“Œ Teknolojia ya Uhalisia Pepe yawa kivutio ๐Ÿ“Œ Elimu Matumizi ya Nishati Safi Kupikia yatolewa Maonesho ya Kimataifa ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma yamekuwa ni sehemu ya wananchi kujionea utekelezaji wa miradi mbalimbali katika Sekta ya…

FCS, TCRA CCC wakubaliana kuimarisha haki za watumiaji mawasiliano

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Asasi ya kiraia Foundation for Civil Society (FCS) na Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TCRA CCC) zimewekeana saini ya makubaliano ya miaka mitatu yenye lengo la kuimarisha juhudi za…

TARURA yaeleza umuhimu wa maabara katika ujenzi wa barabara zenye viwango

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma FUNDI Sanifu Mkuu Maabara kutoka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Jacob Manguye amesema kuwa barabara nyingi zinafeli na kushindwa kuwa za kiwango kutokana na watu wengi kutokupima udongo kabla ya kuanza ujenzi….