JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wakazi 359, 577 Kaliua wapata maji safi na salama

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Kaliua WAKAZI 359,577 wanaoishi katika vitongoji, vijiji na kata mbalimbali Wilayani Kaliua Mkoani Tabora wamenufaika na miradi ya maji iliyotekelezwa na serikali kupitia Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA). Hayo yamebainishwa jana na…

Rais wa Korea Kusini Yoon atakiwa kujiuzuku kwenye chama chake

Rais Yoon Suk Yeol wa Korea Kusini ambaye alitangaza sheria ya kijeshi ametakiwa kuondoka kwenye chama chake cha People’s Power Party. Kiongozi wa chama hicho Han Dong-hoon aliwaambia waandishi wa habari “amemtaka rais huyo kujiuzulu” kutoka kwa chama. Hata hivyo…

Wakulima washauriwa kupima udongo kabla ya kuanza kilimo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Katika kuadhimisha Siku ya Udongo Duniani, Idara ya Sayansi za Udongo na Jiolojia ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wanaagronomia Tanzania (Tanzania Agronomy Society – TAS) na Taasisi…

Serikali ya Ufaransa yaporomoka baada ya kura ya kutokuwa na imani

Serikali ya Ufaransa imeporomoka baada ya Waziri Mkuu Michel Barnier kuenguliwa katika kura ya kutokuwa na imani naye. Wabunge walipiga kura kwa wingi kumtaka aondoke, miezi mitatu tu baada ya kuteuliwa na Rais Emmanuel Macron. Viongozi wa upinzani walileta hoja…

Serikali kuendelea kufanyakazi na wazabuni, wakandarasi nchini

N Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imesema itaendelea kufanya kazi kwa ukaribu na wazabuni wa ndani kwa lengo la kujifunza na kuona changamoto mbalimbali walizonazo na kisha kuzifanyia kazi. Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam na Naibu Katibu…

Vyeti vya wafamasia vitumiwe na wahusika

Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa wito kwa wamiliki wa maduka ya dawa kuhakikisha vyeti vya wafamasia vinavyotumika kwenye maduka hayo vimeambatana na uwepo wa wahusika kwa kujiriwa katika maduka hayo. Akizungumza jana wakati wa…