JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Baraza la Maaskofu Katoliki lapiga marufuku wanasiasa kusimama madhabahuni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Maaskofu katoliki nchini (TEC) limepiga marufuku viongozi wa kisiasa au kiserikali kupewa nafasi ya kuzungumza madhabahuni, iwe kusalimia, hotuba au kusema chochote. Taarifa ya Mwongo wa Maboresho ya Liturujia iliyotolewa na…

Machifu wamkabidhi Samia Utemi wa Taifa, wamuunga mkono

Machifu kutoka maeneo mbalimbali nchini wamewasilisha maombi kwa Rais Samia Suluhu Hassan, wakimtambua kama Chifu Hangaya, wakiomba kuwa mlezi wa Tamasha la Machifu na kulifanya liendelee kufanyika chini ya ofisi yake. Aidha, wamemuomba kufadhili tamasha hilo na kujenga uwanja wa…

‘Msiwalaze watoto wa jinsia tofauti chumba kimoja’

Na Issa Mwadangala, Songwe WAZAZI na Walezi mkoani Songwe, wametakiwa kutowalaza watoto wa jinsi tofauti katika chumba kimoja pamoja na ndugu, jamaa au marafiki wanaowatembelea ili kuepuka vitendo vya ukatili ikiwa ni pamoja na mahusiano ya kimapenzi. Wito huo umetolewa…

Norland yaleta ‘mapinduzi’ ya kiafya Tanzania

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika harakati za kuboresha afya ya Watanzania kwa kutumia njia mbadala zisizo na madhara, kampuni ya Norland imeendelea kuleta mapinduzi kupitia virutubisho vyake vya asili vinavyolenga kusafisha miili na kuimarisha kinga ya mwili…

MAIPAC yagawa bure Majiko ya gesi Monduli, Lowassa apongeza

Na Mwandishi Wetu, Monduli. Taasisi ya Wanahabari ya kusaidia jamii za Asili (MAIPAC) imezindua mpango wa ugawaji bure majiko ya gesi kwa jamii za Asili ili ziweze kutumia nishati safi na salama na kupunguza natumizi ya kuni. Mpango huo uliozunduliwa…