JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Safari za ndege Dubai zarejea

Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai umerejesha huduma zake leo baada ya kufungwa kwa muda kufuatia moto uliotokea katika tanki la mafuta uliosababishwa na shambulizi la droni. Tukio la kuwaka moto kwa tanki la mafuta, ambalo halikusababisha majeruhi, ni…

Chongolo : Wizara ya Kilimo kuanzisha shamba la mbogamboga la hekari 200 Ruvu

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha SERIKALI kupitia Wizara ya Kilimo imeanza hatua za kuanzisha shamba maalum la mbogamboga Ruvu, wilayani Kibaha ,mkoani Pwani, lengo likiwa kuongeza uzalishaji wa mazao hayo ili kukidhi mahitaji ya chakula na lishe kwa Watanzania katika…

Mahakama yatupilia mbali shauri la kupinga Tume ya Uchunguzi ya Oktoba 29, 2025

Shauri la Mapitio Namba 32537 la 2025 la kupinga uundwaji wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea nchini wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 lilifunguliwa Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar…

Masauni: Mpango kukijanisha nchi upo mbioni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Serikali ipo mbioni kuanzisha Mpango wa Mageuzi ya Kijani utakaolenga kukijanisha Tanzania na kusafisha Mazingira ambao programu zake zitasambaa nchi nzima ikiwa moja ya njia ya kuhifadhi na utunzaji wa Mazingira. Waziri wa Nchi, Ofisi…

Agizo la Dk Mwigulu kuhusu lumbesa laanza kutekelezwa

WIZARA ya Kilimo pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara zimeanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kuhusu marufuku ya lumbesa katika mazao ya kilimo nchini. Kauli hiyo imetolewa leo Jumapili Machi 15, 2026 na Naibu Waziri wa…

Hospitali ya Shifaa yazindua idara ya kisasa ya mfumo wa upumuaji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam HOSPITALI ya Shifaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imezindua Idara ya mfumo wa upumuaji inayotumia teknolojia ya hali ya juu kwa magonjwa yanayohusu mfumo upumuaji ambayo ni ya kisasa zaidi kwa hapa…