JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Watanzania walioko Israel, Iran kurejeshwa nyumbani, waanza kujiandikisha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imesema inafanya jitihada za kuwarejesha nyumbani Watanzania wote waliopo Israel na Iran ili kuwaepusha na mashambulio yanayoendelea baina ya mataifa hayo mawili ya Mashariki ya Kati. Katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya…

Kenya mwenyeji wa fainali za Michuano ya Mataifa ya Afrika

Kenya imepongeza tangazo la Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) kuwa nchi hiyo itakuwa mwenyeji wa fainali ya Michuano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) Agosti. Akipongeza hatua hiyo, mkuu wa Shirikisho la Soka la Kenya Hussein Mohammed, aliishukuru CAF kwa…

Marekani yashambulia vinu vya nyuklia Iran

Hatimaye, Marekani imeingia rasmi katika mgogoro wa kijeshi kati ya Israel na Iran kwa kuishambulia Iran moja kwa moja, katika kile kinachoelezwa kuwa ni hatua ya kuisaidia Israel katika vita vinavyoendelea kwa zaidi ya siku kumi. Kwa kutumia ndege za…

‘Siku damu ilipogeuka mto, mashujaa 800 wa Litembo waliposimama kwa mishale dhidi ya bunduki’

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Ruvuma Jua lilipozama Machi 4, 1902, milima ya Umatengo haikulisindikiza kwa machweo ya kawaida. Badala yake, anga lilitawaliwa na moshi mzito wa bunduki, vilio vya kina mama, na sauti za mwisho za mashujaa waliokataa kupigishwa magoti…

Watu 259 wapata huduma ya uchunguzi wa magonjwa ya moyo Dodoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Watu 259 wamepata huduma ya uchunguzi wa magonjwa ya moyo inayotolewa na wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi ya Umma yanayofanyika kwenye Viwanja vya Chinangali Park jijini…