JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kicheko kwa wastaafu Bajeti ya Mwaka 2025/2026 kuongeza Pensheni asilimia 150

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDodoma Serikali imepanga kuongeza kiwango cha chini cha pensheni ya kila mwezi kwa wastaafu wanaolipwa moja kwa moja kutoka Hazina kwa karibu asilimia 150, kwa mujibu wa bajeti ya mwaka wa fedha 2025/26 iliyowasilishwa leo. Akiwasilisha bajeti bungeni…

Serikali kuanzisha vyanzo Vlvipya vya mapato kwa ajili ya kudhibiti UKIMWI na kuwezesha Bima ya Afya kwa Wote

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia , Dodoma Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kuanzisha vyanzo vipya vya mapato vitakavyosaidia kudhibiti maambukizi ya UKIMWI pamoja na kugharamia Bima ya Afya kwa Wote, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kujitegemea katika…

Serikali yapendekeza maboresho makubwa ya kodi, ada na tozo kuongeza mapato mwaka 2025/26

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, amewasilisha bungeni mapendekezo ya Serikali kuhusu marekebisho ya mfumo wa kodi, ada na tozo kwa mwaka wa fedha 2025/26, kwa lengo la kuongeza mapato ya Serikali, kuboresha ukusanyaji na…

Bajeti 2025/26 kulenga miradi ya kimkakati, uchaguzi mkuu na maandalizi ya afcon

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja Vipaumbele mahsusi katika utekelezaji wa bajeti ya Serikali kuwa vitahusisha miradi ya kielelezo, kuimarisha sekta za uzalishaji, huduma za jamii, na kuboresha mazingira ya biashara. Aidha, Serikali itagharamia maandalizi ya…

Bajeti 2025/26; miradi mikubwa yathibitisha mafanikio ya awamu ya sita

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Serikali imewasilisha bajeti ya mwisho ya kipindi cha kwanza cha uongozi wa Awamu ya Sita kwa mwaka wa fedha 2025/26. Kupitia hotuba ya Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, mafanikio makubwa ya miradi ya kimkakati yamewekwa…