JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk Kijaji: Tanzania yazuia tani 216 za kemikali hatari kwa tabaka la ozoni

Na Mwandishi Wetu, JamhurMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema Tanzania imefanikiwa kuzuia tani 216 sawa na asilimia 86 ya uzalishaji wa kemikali hatari kwa tabaka la…

Mashindano ya kuogelea kitaifa yafana Dar

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mashindano ya kitaifa ya wazi kwa mchezo wa kuogelea yamehitimika rasmi kwa kishindo Jumapili ya Septemba 15, 2024 katika bwawa la shule ya kimataifa ya Tanganyika iliyoko mlMasaki, Dar es Salaam. Mashindano hayo…

Mabweni ya kuchukua wanafunzi 12,000 kujengwa kwa ubia Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia wa Sekta za Umma na Binafsi (PPP) wanatatarajia kujenga mabweni ya wanafunzi kwa ubia utakaogharimu Sh bilioni 20.7. Hayo yalisemwa mwishoni…

Trump anusurika jaribio jingine la mauaji

RAIS wa zamani Donald Trump yuko salama kufuatia jaribio la mauaji katika uwanja wake wa gofu wa Florida, na “mshukiwa wa tukio hilo ” yuko kizuizini, mamlaka ya Marekani imethibitisha. Maafisa wa usalama waliona mtutu wa bunduki likipenya kwenye vichaka…

Serikali kutumia bilioni 830 kukabiliana na athari za el nino

Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema Serikali imetoa zaidi ya shilingi Bilioni 830 kwa ajili ya kujenga upya na kwa ubora barabara na madaraja yalioathiriwa na mvua za El -Nino na kimbunga Hidaya nchini kote….