Picha mbalimbali katika mkutano mkuu wa CCM Dodoma
JamhuriComments Off on Picha mbalimbali katika mkutano mkuu wa CCM Dodoma
Viongozi mbalimbali na wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM taifa wakiwa tayari wamewasili kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetion Conference Centre jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano Mkuu wa chama hicho taifa ambao pia utamuidhinisha Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dkt Emmanuel John Nchimbi.