Rais Dk Samia afunga Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi Dar
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia afunga Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi katika viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa vyeti ya Heshima kwa Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi waliofanya vizuri katika mafunzo yao kwenye sherehe za kufunga mafunzo yao katika Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2025Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura kabla ya kufunga Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2025.