JamhuriComments Off on Rais Dk Samia afungua mradi wa maji Lamadi Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa kuashiria ufunguzi wa mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.
Busega wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi Mkoani Simiyu, tarehe 19 Juni, 2025 katika eneo la mradi, wilayani Busega.