Rais Dk Samia akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa majumuisho ya ziara yake Simiyu
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa majumuisho ya ziara yake Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa majumuisho ya ziara yake mkoani Simiyu, uliofanyika katika viwanja vya stendi ya zamani wilayani Bariadi, tarehe 18 Juni, 2025.