Rais Dk Samia akimkaribisha Rais wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia akimkaribisha Rais wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Mei, 2025.