Rais Dk Samia akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.