Rais Dk Samia akizindua Mpango wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo Simiyu
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia akizindua Mpango wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Mpango wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo kitaifa kwa mwaka 2024/2025- 2028-2029 katika viwanja vya Nanenane Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.