Rais Dkt. Samia akifungua Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya TRA Simiyu
JamhuriComments Off on Rais Dkt. Samia akifungua Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya TRA Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akifungua Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Simiyu lililopo Bariadi tarehe 16 Juni, 2025.