Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya Kufungua Kanisa la Arise and Shine, Kawe Jijini Dar es salaam.