Rais Dkt. Samia akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji
JamhuriComments Off on Rais Dkt. Samia akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.