Rais Dkt. Samia akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo
JamhuriComments Off on Rais Dkt. Samia akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo- Brazzaville Mhe. Denis Sassou Nguesso uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Jean-Claude Gakosso, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Julai, 2025.