Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaaga kwa kuwapungia mkono Waumini wa Kanisa la Arise and Shine mara baada ya kuhitimisha halfla ya ufunguzi wa kanisa hilo lililopo Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 5 Julai, 2025.