Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Gawio la Serikali kutoka Mashirika ya Umma na Taasisi mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.