Rais Dkt. Samia ateta na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China Ikulu jijini Dar es Salaam
JamhuriComments Off on Rais Dkt. Samia ateta na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Januari, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Januari, 2026. Pia katika mazungumzo hayo Mhe. Waziri Wang Yi aliwasilisha Salamu Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping.