Rais Dkt. Samia awasili Arusha kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa EAC
JamhuriComments Off on Rais Dkt. Samia awasili Arusha kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa EAC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA. Amos Makalla mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), tarehe 06 Machi, 2026. Rais Mhe. Dkt. Samia amewasili Jijini Arusha kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaotarajiwa kufanyika tarehe 07 Machi, 2026 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC).Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tarehe 06 Machi, 2026. Rais Mhe. Dkt. Samia amewasili Jijini Arusha kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaotarajiwa kufanyika tarehe 07 Machi, 2026 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC).Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia Kikundi cha Sanaa cha Maasarie Troupe mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tarehe 06 Machi, 2026. Rais Mhe. Dkt. Samia amewasili Jijini Arusha kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)unaotarajiwa kufanyika tarehe 07 Machi, 2026 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC).