Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wazee wa Tanzania, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27, Agosti 2025.