Rais Mwinyi, viongozi mbalimali wakishiriki dua maalum ya kumwombea hayati Karume
JamhuriComments Off on Rais Mwinyi, viongozi mbalimali wakishiriki dua maalum ya kumwombea hayati Karume
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wakishiriki Dua maalum mbele ya kaburi la aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayati Abeid Amani Karume ikiwa ni miaka 54 tangu kuuawa kwake, Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kisiwandui, Zanzibar tarehe 7 Aprili, 2026.