Rais Samia aandaa Iftar kwa makundi mbalimbali Arusha
JamhuriComments Off on Rais Samia aandaa Iftar kwa makundi mbalimbali Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwamiminia uji wanafunzi wa Assalaf Islamic Seminary kutoka Ummu Aisha Orphanage Centre, walioshiriki kwenye Futari aliyowaandalia pamoja na Makundi mengine ya jamii, Ikulu Ndogo ya Arusha tarehe 01 Machi, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Futari aliyowaandalia Viongozi wa Dini, Viongozi wa Mkoa wa Arusha, Watoto yatima, Wajane, Wazee pamoja na Makundi mengine ya jamii katika Ikulu Ndogo ya Arusha, tarehe 01 Machi, 2026.