Rais Samia afanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini Tanzania
JamhuriComments Off on Rais Samia afanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Italia nchini Tanzania Mhe.Giuseppe Sean Coppola, na ujumbe wake, Ikulu, Dar es Salaam tarehe 29 Machi, 2026.ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Balozi wa Italia nchini Tanzania Mhe. Giuseppe Sean Coppola Pamoja na ujumbe wake, Ikulu, Dar es Salaam tarehe 29 Machi, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mkurugenzi na Mmiliki wa DANIELI Group Bw. Giacomo Mareschi-Danieli, Ikulu, Dar es Salaam tarehe 29 Machi, 2026.