Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatilia matukio katika mkutano wa hadhara wa majumuisho ya ziara yake mkoani Simiyu, uliofanyika katika viwanja vya stendi ya zamani wilayani Bariadi, tarehe 18 Juni, 2025.