Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Gawio la Serikali iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo kwa Mashirika ya umma na Taasisi mbalimbali zilizofanya vizuri katika uchangiaji kwa mwaka 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni, 2025.