Rais Samia akiwa katika oicha ya pamoja na Spika wa Bunge na Jaji Mkuu
JamhuriComments Off on Rais Samia akiwa katika oicha ya pamoja na Spika wa Bunge na Jaji Mkuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu pamoja na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. George Mcheche Masaju mara baada ya kufungua rasmi Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma tarehe 14 Novemba, 2025.