Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention center (JKCC) Mkoani Dodoma tayari kwa Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo Julai 17,2025.