Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza viongozi, wanachama, wapenzi, wakereketwa wa CCM na Watanzania wapenda maendeleo katika harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kampeni za CCM za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, inayoendelea katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar Es Salaam ambapo malengo ni kuchabgisha kiasi cha shilingi bilioni 100.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza viongozi, wanachama, wapenzi, wakereketwa wa CCM na Watanzania wapenda maendeleo katika harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kampeni za CCM za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, inayoendelea katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar Es Salaam ambapo malengo ni kuchabgisha kiasi cha shilingi bilioni