JamhuriComments Off on Rais Samia aongoza kikao Baraza la Mawaziri
Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Juni 22, 2025.(Picha na Kurugenzi ya Mawasiliano, Ikulu).