Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Magogoni
JamhuriComments Off on Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Magogoni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, tarehe 5 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.