Rais samia apokea taarifa ya CAG, taarifa ya utendaji TAKUKURU
JamhuriComments Off on Rais samia apokea taarifa ya CAG, taarifa ya utendaji TAKUKURU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) pamoja na Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 30 Machi, 2026. KaziNaUtuTunasongaMbele TabasamuLaUtu maendeleoendelevu diplomasiayakiuchumi