Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Singapore nchini Tanzania Mheshimiwa Douglas Foo, tarehe 27 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
Pamoja na mambo mengine mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha Uhusiano baina nchi hizi mbili haswa katika masuala ya teknolojia,elimu, afya na miundombinu.







