Rais Samia atoa wito kwa jamii kuwajali watoto wenye uhitaji, alipongeza kanisa la KKKT
JamhuriComments Off on Rais Samia atoa wito kwa jamii kuwajali watoto wenye uhitaji, alipongeza kanisa la KKKT
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, viongozi wengine kwenye picha ya pamoja na Wachungaji kutoka majimbo ya Kati, Kaskazini, Kusini, Kusini Magharibi na Zanzibar mara baada ya Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Juni, 2025.