Rais Samia atoa wito kwa mashirika ya umma kuendeleza uwekezaji wa Serikali, kuchangia maendeleo ya kiuchumi
JamhuriComments Off on Rais Samia atoa wito kwa mashirika ya umma kuendeleza uwekezaji wa Serikali, kuchangia maendeleo ya kiuchumi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali kwenye hafla ya kupokea Gawio la Serikali iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni, 2025.