: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Laurean Josephat Ndumbaro kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha CPA. Amos Gabriel Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Deo Osmund Mwapinga kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.