Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2025 kabla ya kuzindua Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba, 2025.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba, 2025, Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akiwa pamoja na Wajumbe wa Tume hiyo kabla ya kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2025.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba, 2025. Hafla hiyo ilifanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2025.9
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka akizungumza Ikulu Chamwino mkoani Dodoma wakati wa uzinduzi wa Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 20 Novemba, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba, 2025, Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania Mohamed Chande Othman katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume hiyo, Ikulu Chamwino, tarehe 20 Novemba, 2025.