Rais Samia azindua usafirishaji mizigo kwa treni ya umeme ya SGR
JamhuriComments Off on Rais Samia azindua usafirishaji mizigo kwa treni ya umeme ya SGR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma eneo la Kwala Marshalling Yard mkoani Pwani, tarehe 31 Julai, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma, Kwala mkoani Pwani, Leo tarehe 30 Julai, 202.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi Kongani ya Viwanda ya Kwala (Kwala Industrial Park) iliyopo Kwala, Kibaha vijijini mkoani Pwani tarehe 31 Julai, 2025. Lengo kuu la Kongani ya viwanda ni kujenga viwanda 2000 na kwasasa kuna viwanda 12 katika eneo lenye ekari 2500.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza na wananchi wa Kwala kwenye mkutano wa hadhara mara baada ya kuzindua Bandari kavu ya Kwala, Kibaha vijijini mkoani Pwani tarehe 31 Julai, 2025.