Rais wa Jamhuri ya Finland akikagua Gwaride la heshima
JamhuriComments Off on Rais wa Jamhuri ya Finland akikagua Gwaride la heshima
Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025.Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025.