Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wa CCM akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ambaye amekuwa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM.

Uteuzi huo umetangazwa leo tarehe 23 Agosti 2025.