Sajini (SGT) Noela Pallangyo atunukiwa nishani ya Umoja wa Mataifa
JamhuriComments Off on Sajini (SGT) Noela Pallangyo atunukiwa nishani ya Umoja wa Mataifa
Sajini (SGT) Noela Pallangyo ametunukiwa nishani ya Umoja wa Mataifa kwa kutambua majukumu yake na katika huduma ya amani akiwa afisa wa Kitengo cha Polisi cha Kimataifa katika Misheni ya Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Sudan Kusini.